📖 Kuhusu Sisi
Story Tamu ni website ya kusoma hadithi za kuvutia kwa Kiswahili. Tunachapisha hadithi mpya kila wiki.
Tunaamini kuwa hadithi zina uwezo wa kuburudisha, kuelimisha, na kuhamasisha. Ndio maana tunajitolea kuleta hadithi bora kwa wasomaji wetu.
Ikiwa una maswali au maoni, usisite kuwasiliana nasi.