✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 10: MAHABA YA MAJINI

Kivuli cha ushirikina kilianza kutanda juu ya nyumba ya siri kule Kigamboni. Wakati Abdul akifikiri amepata bandari ya utulivu, Nasra akiwa kizuizini alikuwa ameshaachia majini ya uharibifu kuelekea kwa wasaliti wake.

Wiki mbili zilipita tangu Anita afanye safari ya siri kuelekea Bagamoyo. Maisha ya Abdul na Aisha yalianza kubadilika kwa namna ya ajabu. Nyumba ile iliyojaa anasa ilianza kuwa na ubaridi wa kutisha, na nyakati za usiku, sauti za paka wakipigana paa lilikua jambo la kawaida.

Siku hiyo, Abdul alirudi akiwa na mihemko mikali. Alikuwa amemnunulia Aisha seti ya chupi za bei mbaya na mafuta ya masaji yenye harufu ya *strawberry*. Alitaka kuuvunja ukuta wa baridi uliokuwa umejengeka kati yao.

"Mpenzi, leo nataka nikupeleke mawinguni," Abdul alisema huku akimvua Aisha nguo zake taratibu sebuleni. Alianza kumpaka yale mafuta ya *strawberry*, mikono yake ikizunguka kwenye makalio ya Aisha kwa ufundi wa hali ya juu.

Aisha alianza kusisimka. Kwa mara ya kwanza tangu atoke hospitali, alihisi damu inachemka. Alimkumbatia Abdul na kuanza kumng'ata kidogo kwenye sikio, huku akipitisha ulimi wake kwenye kifua cha Abdul. Walielekea chumbani huku wakiwa wameshaanza safari ya mahaba tangu mlangoni.

Hata hivyo, katikati ya pambano hilo la kukata na shoka, wakati Abdul akijiandaa kufika kileleni, Aisha alipiga yowe la kutisha.

"Aah! Abdul! Unanichoma! Una moto!" Aisha alimsukuma Abdul kwa nguvu na kumuangusha kitandani.

Abdul alishangaa. "Moto gani Aisha? Mbona nipo kawaida?"

"Mwili wako unatoa moshi! Na macho yako... mbona yamekuwa mekundu kama damu?" Aisha alikuwa akitetemeka, akijibanza kona ya kitanda huku akijifunika na shuka.

Abdul alijitazama kwenye kioo cha kabati na kupiga yowe. Uso wake ulikuwa umeanza kubadilika na kuwa na sura ya mnyama, na ngozi yake ilikuwa ikitoa harufu ya kiberiti kilichoungua. Lakini sekunde chache baadaye, hali ilirudi kuwa kawaida. Alikuwa akihallucinate (kuona maono) kutokana na yale madawa ya Mzee Majini.

Tangu usiku huo, tendo la ndoa likawa ni adhabu. Kila Abdul akimkaribia Aisha, Aisha alikuwa akiona nyoka wakitambaa mwilini mwa Abdul. Na kila Abdul akijaribu kumshika Aisha, alikuwa akihisi anashika mwili wa baridi kama barafu, uliokufa.

"Abdul, siwezi tena! Kila tukigusana nahisi naugua!" Aisha alilia usiku mmoja baada ya jaribio lingine kushindwa.

Abdul alikaa pembeni mwa kitanda, akishika kichwa chake. Alikuwa amepoteza mke, amepoteza mtoto, amepoteza heshima, na sasa alikuwa anapoteza uwezo wa kufurahia anasa pekee iliyokuwa imebaki—Aisha.

Wakati huo huo, Nasra akiwa gerezani, alikuwa akitabasamu peke yake gizani. Alijua fika kuwa "zigo" limefika. Alijua kuwa kuanzia siku hiyo, kila mara Abdul na Aisha wakitaka kufanya mapenzi, wataona sura yake (Nasra) katikati yao.

"Mtaonja jehanamu kabla hamjafa," Nasra alinong'ona huku akichezea pingu zake.

Hali ilifikia pabaya pale Abdul alipoanza kuumwa na ugonjwa usioeleweka. Miguu yake ilianza kuvimba na kutoa majimaji, na madaktari walishindwa kugundua tatizo. Biashara zake zilianza kuporomoka, na ofisini akaanza kuonekana kama mtu aliyepagawa.

Aisha, akiwa amechoka na vitisho vya usiku na umaskini uliokuwa unanyemelea, alianza kufikiria mpango mwingine. Alikumbuka yule **Daktari** wa hospitalini aliyemwambia anampenda na yuko tayari kumuoa licha ya kukosa kizazi.

"Abdul ni mkosi," Aisha aliwaza huku akimtazama Abdul aliyekuwa akigaagaa kwa maumivu ya miguu kitandani. "Lazima nitoroke kabla na mimi sijaingia kaburini."

---
**Itaendelea Sehemu ya 11...**