✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 5: DAMU KWENYE KOCHI NA SIMU YA KELVIN

Lailah alirudi hostel huku akitembea kwa kutanua miguu kidogo. Kila hatua aliyopiga, alihisi mchonyoto mkali ukeni, ukimkumbusha ule ukatili wa Dr. Mvungi. Alipoingia bafuni, alitazama damu iliyokuwa imeganda kwenye mapaja yake; ishara ya ushindi kwa Mvungi, lakini ishara ya msiba kwa ndoto za mama yake.

Alichuchumaa chini ya mfereji wa maji, akilia kwa kwikwi. Alijisikia mchafu. Lakini katikati ya yale maumivu, sauti ya Tasha ilisikika akigonga mlango wa bafuni.

"Vipi mwanangu? Mzee amekupa 'A' nini? Mbona unakaa sana humo?"

Lailah alijifuta machozi, akasafisha damu ile na kutoka. "Nimefanikiwa Tasha. Kila kitu kimeisha."

Tasha alimtabasamu. "Karibu kwenye ulimwengu wa wenye akili, Lailah. Mwili wako ni mali, usiuache uozee kijijini bure."

Wakati Lailah anajikalia kitandani akijaribu kutuliza maumivu, simu yake ilianza kuita. Jina lililopepea kwenye kioo liliufanya moyo wake upige *paa!*... **KELVIN.**

"Halo Lailah, mpenzi wangu," sauti ya Kelvin ilikuwa imejaa hamu na upendo. "Nimekukumbuka sana. Nimepata nafasi ya kuja Dar wikendi hii. Nataka nije nimalizie kile tulichoshindwa kule kijijini. Safari hii nimejiandaa, sitakuangusha mpenzi."

Lailah alihisi kichefuchefu. Alikumbuka jinsi Kelvin alivyokuwa akihangaika na "dude" lake lililolega, akilinganisha na ukatili wa Dr. Mvungi uliompasua bila huruma saa chache zilizopita. Ile heshima aliyokuwa nayo kwa Kelvin ilianza kuyeyuka na badala yake akahisi dharau.

"Kelvin, usije," Lailah alijibu kwa sauti ya mkato.

"Kwanini mpenzi? Kuna tatizo?" Kelvin aliuliza kwa mshtuko.

"Niko busy sana na masomo, na mitihani imekaribia. Usinisumbue kwa sasa," Lailah alidanganya, huku akitazama kucha zake alizokuwa ameanza kuzipaka rangi ya dhahabu.

"Lakini Lailah..."

Kabla Kelvin hajamaliza, Lailah alikata simu. Alihisi Kelvin ni "mshamba" na hana nguvu ya kumudu maisha yake ya sasa. Usiku ule, ili kupoteza mawazo, Lailah alikunywa glasi mbili za *Whisky* kavu. Pombe ilipokolea, ile hofu ya dhambi ilitoweka. Alijitazama kwenye kioo, akaona chuhu zake zikichomoza kwa nguvu ndani ya nguo yake ya kulalia ya hariri.

Alichukua simu yake, akamtumia Dr. Mvungi ujumbe wa WhatsApp: *"Asante kwa leo mwalimu. Ile 'A' naisubiri kwenye mfumo."*

Mvungi alijibu hapo hapo: *"Njoo kesho jioni geto kwangu Sinza, nikupunguzie uchovu kidogo."*

Lailah alitabasamu kwa uchungu. Alijua safari ya kurudi nyuma imeshafungwa. Sasa alikuwa tayari kuliwa na yeyote mwenye uwezo wa kumpa anasa au alama za kufaulu. Kelvin alikuwa ameshapitwa na wakati.

---

**Katika Episode inayofuata:**
Lailah anaanza kwenda "geto" kwa Dr. Mvungi, ambapo sasa tendo halifanyiki kwa hofu, bali kwa ufundi zaidi. Lakini anagundua kuwa Dr. Mvungi si mmoja, kuna kundi la wahadhiri wenzake wanaotaka "kuonja." Je, Lailah atakuwa mali ya wote?

**Usikose EPISODE 6: "SINZA NA MITEGO YA WAHADHIRI"**