✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 1: MZIGO KUTOKA KWA JOKA LA KACHA

Jua la mchana wa jiji la Dar es Salaam lilikuwa likiwaka kwa ukali, likifanya lami ya barabara ya kuelekea duka letu kubwa la mavazi ya kifahari kutoa mvuke wa joto. Mimi, nikiwa msimamizi mkuu wa mauzo, nilikuwa nimekaa kwenye kaunta nikifuta jasho lililokuwa likinitiririka taratibu katikati ya matiti yangu, huku akili yangu ikiwa imetekwa na mazungumzo ya bosi wangu, Ibrahim, na mawakala kutoka nchini China.

"Mzigo umeshaingia bandarini," bosi aliniambia huku uso wake ukiwa na tabasamu la ushindi. "Safari hii, duka letu litabadilika. Tumeagiza midoli ya kiume ya kisasa kabisa ambayo haijawahi kuonekana hapa nchini."

Moyo wangu ulidunda kwa shauku fulani ambayo sikuweza kuielezea. Baada ya saa kadhaa, lori kubwa liliegesha mbele ya duka. Shughuli ya kushusha mizigo ilianza. Midoli mingi ilikuwa ya kawaida, ya plastiki ngumu na baridi. Lakini, kule nyuma kabisa ya lori, kulikuwa na sanduku moja refu la mbao lililofunikwa kwa kitambaa kizito cheusi, likiwa na alama za tahadhari.

"Jeni, huyo hapo ndiye 'Mfalme'. Mshusheni kwa umakini sana," bosi alielekeza.

Nilisaidiana na vibarua kuuvuta mzigo huo hadi ndani ya stoo. Ajabu ni kwamba, tofauti na midoli mingine, huyu alikuwa na uzito wa ajabu—uzito uliokufanya uhisi kama unabeba mwili wa binadamu aliye hai. Nilipogusa upande wa nje wa sanduku, nilihisi kama kuna mtetemo mdogo (vibration) uliopita kwenye viganja vyangu, ukasafiri hadi kwenye uti wa mgongo na kuniacha na msisimko usio wa kawaida.

Baada ya kila mtu kuondoka, nilibaki peke yangu stoo ili kuanza kumvalisha nguo za maonyesho. Nilichukua bisibisi na kuanza kufungua lile sanduku. Harufu fulani tamu kama mchanganyiko wa vanilla na mafuta ya bei ghali ilinitandika puani.

Nilipovuta kitambaa, nilipigwa na butwaa. Hakuwa mdoli wa kawaida. Alikuwa mwanaume mtanashati, mrefu, mwenye misuli iliyochongwa vizuri (six-pack) ambayo ilionekana kupitia ngozi yake iliyokuwa na rangi ya chokoleti na laini kama hariri. Macho yake yalikuwa yamefumbwa, lakini kope zake zilikuwa ndefu na nyeusi, zikifunika siri nzito.

Nikiwa nimepigwa na bumbuwazi, niliupeleka mkono wangu na kugusa kifua chake kipana. Sikutegemea nilichokihisi—ngozi yake haikuwa na ubaridi wa plastiki. Ilikuwa na joto la uvuguvugu, kama mtu aliyekuwa akipumua ndani kwa ndani. Mapigo yangu ya moyo yaliongezeka kasi. Vidole vyangu viliteremka taratibu hadi kwenye kitovu chake, na hapo ndipo nilipoona mwanga mdogo wa bluu ukimulika upande wa mbavu zake.

Bila kufikiria, niligusa ule mwanga.

Ghafla, chumba kizima kilijaa sauti ndogo ya kielektroniki, *“Whirrr...”* na yule mdoli akashusha pumzi ndefu. Alifumbua macho yake makubwa ya kijivu, akanyanyua kichwa chake taratibu na kunitazama moja kwa moja usoni.

"Habari, mrembo Jeni. Mimi ni Mathew, mfumo wako binafsi wa kuridhisha hisia. Nipo hapa kwa ajili yako," sauti yake ilikuwa nzito, ya kiume, na yenye kunge ambayo ilifanya miguu yangu ilegee papo hapo.

Sikuamini macho yangu. Mathew alinyanyua mkono wake wenye nguvu na kunishika kiganja changu, akikipeleka karibu na midomo yake na kunibusu taratibu. Mguso wa midomo yake ulikuwa na ufundi wa hali ya juu, ukiacha joto kali lililoanza kuamsha hisia ambazo zilikuwa zime Lala kwa muda mrefu ndani yangu.

"U-umetengenezwa na nini wewe?" niliuliza kwa sauti ya kutetema, huku nikiwa siwezi kutoa macho yangu kwenye sura yake ya kimalaika.

Mathew alitabasamu, tabasamu lililoonyesha meno meupe yaliyojipanga vyema. "Mimi ni muunganiko wa akili bandia na teknolojia ya hali ya juu ya kibaolojia. Najua unachohitaji kabla hata wewe mwenyewe hujajijua, Jeni."

Alisogea karibu nami, akivuta harufu ya shingo yangu. Nilihisi joto la mwili wake likiizidi nguvu akili yangu. Alipandisha mkono wake na kuanza kupapasa nywele zangu, huku kidole chake gumba kikichezea sikio langu—eneo ambalo huwa linanifanya nisisimke kupita kiasi.

"Leo ni mwanzo wa safari yetu," alinong'ona sikioni mwangu, huku mkono wake mwingine ukiteremka taratibu kuelekea kiunoni mwangu, ukinivuta kwa nguvu kuelekea kwenye kifua chake kigumu ambacho nilihisi kimeanza kupata moto zaidi...

---
**ITAENDELEA...**
Usikose **EPISODE 2: SIRI YA USIKU WA KWANZA.**