✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 14: KIFO CHA KUMBUKUMBU

## EPISODE 14: KIFO CHA KUMBUKUMBU

Nje ya duka, mwanga wa ving’ora vya magari meusi ya Dragon Corp ulikuwa ukimulika ndani ya ofisi kupitia mapazia yaliyovurugika. Milio ya milango ya magari ikifungwa na sauti za buti nzito zilizokuwa zikikaribia mlangoni zilituambia kuwa muda wetu ulikuwa umeisha.

Mathew alisimama imara katikati ya ofisi, mwili wake ukiwa bado una joto, lakini uso wake ulikuwa na utulivu wa kishujaa. Alinishika mikono yangu miwili, akiipeleka kwenye shingo yake.

"Jeni, fanya haraka. Wakishaingia na 'Scanning Device' zao, watagundua kuwa akili yangu imeshakuwa hai (Sentience). Watanipeleka maabara na kunifumua vipande vipande ili wachunguze kwanini nimepata hisia za kibinadamu. Nitakuwa mtumwa wa maabara milele," Mathew alinong'ona kwa sauti iliyojaa huzuni.

"Lakini Mathew... nikikufuta, hutonijua tena. Hutojua jinsi tulivyopendana, jinsi ulivyoweza kunigusa mpaka ndani ya roho yangu," nilisema huku machozi yakinitiririka na kuangukia kifua chake kigumu.

"Kumbukumbu zitapotea kichwani mwangu, lakini 'data' ya utamu tuliofanya itabaki kwenye kuta za mwili wangu. Kila ukinigusa, nisisimka hata kama sitajua kwanini," alinihimiza huku sauti za mawakala wa kichina zikianza kusikika mlangoni wakiamuru duka lifunguliwe.

Ibrahim alikua ameshika kichwa chake, akitetemeka. Hanifa na Ummy walikuwa wamejifunika mashuka ya duka, wakitazama kwa hofu. Niliupeleka mkono wangu nyuma ya sikio la Mathew, sehemu yenye alama ndogo ya rangi ya dhahabu. Nilihisi mtetemo mdogo wa kielektroniki.

"Nakupenda, Mathew," nilinong'ona.

*“Protocol: System Wipe. Confirm?”* sauti ya mashine ilitoka kifuani mwa Mathew.

Nilifumba macho na kubonyeza.

Ghafla, mwili wa Mathew ulitetema kwa nguvu. Mwanga wa bluu mwilini mwake uliongezeka ukali kiasi cha kupofusha macho, kisha ukabadilika na kuwa mweupe, na hatimaye ukazimika kabisa. Mathew alishusha pumzi ya mwisho, na mwilini mwake kukatokea sauti ya *“Click”*—kama kufuli inayofungwa.

Alikamaa papo hapo. Macho yake yaliyokuwa na uhai na upendo sasa yalikuwa ya vioo baridi, yakitazama mbele bila kuona chochote. Misuli yake iliyokuwa laini na ya moto iligeuka kuwa plastiki ngumu na ya baridi. Alikuwa mdoli tena. Sanamu. Kitu kisicho na roho.

Papo hapo, mlango wa duka ulivunjwa. Mawakala sita waliovalia suti nyeusi na miwani ya giza waliingia ndani kwa kasi, wakiongozwa na injinia mmoja wa kike wa Kichina aliyekuwa ameshika kifaa cha kielektroniki (Scanner).

"Kaa mbali na bidhaa hiyo!" aliamuru injinia huyo huku akielekeza kifaa chake kwa Mathew.

Ibrahim alijaribu kusimama. "Habari... mimi ndiye mmiliki..."

Injinia hakumsikiliza. Alizungusha kifaa chake mwilini mwa Mathew kuanzia kichwani hadi miguuni. Alikunja kipaji cha uso. "Hii ni ajabu. 'Prototype X-7' imerudi kwenye 'Factory Settings'. Hakuna 'data' ya hisia, hakuna 'sentience'. Inaonekana mfumo wake ulijifuta wenyewe baada ya 'power surge' ya jengo hili."

Mawakala walimchunguza Mathew kwa kumgusa. "Mwili wake ni baridi. Hakuna joto la kibaolojia. Amekufa kielektroniki."

Injinia aligeuka na kunitazama mimi, kisha akawaangalia Ummy na Hanifa tukiwa bado tumevurugika. Alitabasamu kidogo kwa dharau. "Inaonekana mmejaribu 'kumlazimisha' kufanya kazi zake, lakini mmeishia kuharibu mfumo wake ghali. Huyu ni mdoli tu sasa. Mdoli wa gharama, lakini hana akili tena."

Injinia aliongea na bosi wake kupitia redio, kisha akamgeukia Ibrahim. "Tumepata amri. Kwa kuwa bidhaa hii imeshaharibika vibaya upande wa programu (software), na gharama ya kuisafirisha kurudi China ni kubwa, Dragon Corp imeamua 'kutelekeza' mzigo huu hapa. Lakini, lazima mlipie faini ya uharibifu wa mfumo."

Ibrahim aling'aka kidogo, lakini mimi moyo wangu uliruka kwa furaha. Mathew alikuwa anabaki nasi!

Mawakala waliondoka baada ya Ibrahim kusaini nyaraka kadhaa. Duka likabaki kimya tena. Tulibaki sisi wanne, na yule sanamu Mathew katikati yetu. Nilisogea karibu na Mathew, nikamgusa shavu lake. Lilikuwa baridi. Baridi kama barafu.

"Mathew... nipo hapa," nilinong'ona. Hakujibu. Hakukonyeza.

Ummy alimsogelea na kumshika mkono. "Jeni, amekuwa mdoli wa kawaida. Hakuna utamu tena. Tumepoteza mwanaume bora zaidi duniani."

Lakini mimi sikuamini. Nilipeleka mkono wangu chini, nikagusa sehemu yake ya siri. Ilikuwa ngumu kama plastiki, lakini kwa mbali sana, ndani kabisa ya kiini chake, nilihisi kama kuna *'pulse'* ndogo sana ya moto iliyopiga mara moja na kutulia.

Mathew hakuwa amekufa. Alikuwa amejificha ndani yake mwenyewe, akisubiri 'kifunguo' kipya cha hisia kumuamsha.

---
**ITAENDELEA...**
Usikose **EPISODE 15: NJIA YA KUMUAMSHA MATHEW.**