✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 1: Mtego wa Comment Section

Siku hiyo ilikuwa ya kawaida sana kwa Baraka. Alikuwa amepumzika kwenye kochi lake baada ya pilkapilka za mchana, akipitia kurasa za kijamii. Macho yake yalitua kwenye post moja ya mjadala kuhusu "Mapenzi na Kazi." Chini ya post hiyo, aliona comment moja fupi iliyoandikwa kwa ufasaha wa hali ya juu:

> *"Mapenzi ni kama huduma ya kwanza, usipojua pa kuanzia, unaweza kuua mgonjwa badala ya kumponya."*

Alivutiwa. Alibofya picha ya profile na kukutana na sura ya binti aliyekuwa amevaa sare nyeupe za uuguzi, akitabasamu kwa unyenyekevu. Alijikuta anatuma salamu DM. Hakujua kuwa lile tabasamu lilikuwa mwanzo wa safari itakayoyateka akili na mwili wake.

Baada ya chati za siku mbili, walihamia WhatsApp. Baraka alizama kwenye urembo wa Sasha; macho makubwa yenye unyevunyevu, ngozi ya rangi ya chocolate, na sauti ya upole iliyokuwa ikimtoa nje ya mstari kila walipopigiana simu.

Siku ya kwanza kukutana ilikuwa usiku wa Ijumaa. Sasha alikuja nyumbani kwa Baraka akiwa amevalia nguo ya hariri iliyochora kila mzunguko wa mwili wake. Baraka alipomfungulia mlango, harufu ya manukato ya Sasha ilimlevya kabla hata hawajasalimiana.

*"Karibu Sasha,"* Baraka alisema kwa sauti iliyolowa hamu.

*"Asante Baraka, hatimaye tumekutana,"* Sasha alijibu huku akimkazia macho, mkono wake mmoja ukichezea kola ya shati la Baraka.

Haikuchukua muda. Maongezi ya mezani yaligeuka kuwa miguso ya hapa na pale. Baraka alishika kiuno cha Sasha na kumvuta kwake, akihisi joto la mwili wa binti huyo likipenya kwenye nguo zake. Sasha hakuwa na aibu; alimzungushia Baraka mikono yake shingoni na kuanza kumbusu kwa ufundi uliomfanya Baraka ajihisi kama anayeyuka.

Walielekea chumbani huku nguo zikidondoka njiani. Kitandani, Sasha alikuwa kama moto wa kifuu. Baraka alijikuta akivutiwa na ujasiri wa binti huyu ambaye nje alionekana kama muuguzi mtulivu. Baraka alizama katikati ya mapaja ya Sasha, akionja utamu wa binti huyo ambaye alikuwa akigumia kwa sauti ya chini, akimvuta Baraka amuingilie.

Baraka alijivika kinga na kwa umakini, alianza kuingia ndani ya Sasha. Kila inchi aliyokuwa akizama ilimfanya Sasha akaze kucha zake mgongoni mwa Baraka, akipiga kelele ndogo za raha. *“Ahhh Baraka, usisimame... nipe yote,”* Sasha alisisitiza huku akizungusha nyonga zake kwa midundo iliyomfanya Baraka ahisi anafika kileleni mapema. Walicheza mchezo ule kwa saa nzima, wakibadilisha mitindo ambayo Baraka hakuwahi kuifikiria, hadi miili yao ilipolowa jasho na kuloa dhoruba ya kilele.

Baraka aliamini amepata mwanamke wa maisha, lakini hakujua kuwa Sasha alikuwa na upande mwingine uliopitiliza mipaka ya kawaida ya mahusiano.

---

**Katika Episode ya pili:**
Baraka anaanza kupokea video za ajabu kutoka kwa Sasha akiwa kazini (hospitalini), na shinikizo la Sasha kutaka Baraka naye ajirecord uchi linaanza kuleta mivutano ya kwanza.

**Usikose EPISODE 2: "Zamu ya Usiku na Video za Chooni"**