Episode 5: MAIGIZO YA HATARI
Hali ilikuwa ya sintofahamu. Mapigo ya moyo ya Iddi na Sharifa yalikuwa yakidunda kama ngoma za mchiriku, huku harufu ya mahaba ikiwa bado imetanda hewani.
Sauti ya mlango wa gari ikifungwa nje ilikuwa kama mdundo wa hukumu kwa Iddi. Alichomoa haraka, huku akihangaika kupandisha bukta yake iliyokuwa imenasia kwenye magoti. Sharifa, kwa ujanja wake wa kuzaliwa, alinyata na kuvaa taiti yake kwa sekunde mbili, kisha akajitupa chini karibu na vyuma.
*"Fanya haraka shemeji! Nyanyua chuma hicho!"* Sharifa alinong'ona kwa sauti ya amri huku akijifanya kuhema kwa nguvu kama mtu anayefanya mazoezi mazito.
Baturi aliingia ndani ya gym akiwa na tabasamu, mikononi akiwa amebeba mifuko ya matunda. *"Jamani! Kumbe bado mko huku? Mume wangu, mbona unatokwa na jasho jingi kiasi hicho?"* Baturi aliuliza huku akimkaribia mumewe.
Iddi alikuwa ameshika chuma kikubwa (barbell), mikono ikimtetemeka si kwa uzito wa chuma, bali kwa hofu. *"Ee-eeh... mke wangu, nimeamua kumkazia Sharifa leo. Mdogo wako anaonekana ana uvivu wa kijijini, nikaona nimtoe jasho sawasawa,"* Iddi alijibu huku akijifuta jasho la paji la uso kwa mkono uliokuwa na harufu ya Sharifa.
Baturi alimtazama mdogo wake aliyekuwa amelala chini akijinyoosha. *"Sharifa, mdogo wangu, pole! Shemeji yako akiamua kukufundisha mazoezi ni mkatili huyu, usije ukavunjika kiuno bure,"* Baturi alisema huku akicheka, bila kujua kuwa kiuno hicho kilikuwa kimeshachezewa muda mchache uliopita.
Sharifa alijigeuza na kukaa, akijifanya mchovu huku akirembua macho kwa Iddi kwa siri. *"Kweli dada... shemeji ni fundi sana wa mazoezi. Amenifanya mpaka nahisi mwili wote umeparara. Lakini nimeanza kuzoea 'pigo' zake."*
Iddi alihisi kama ardhi itafunguka amezame. Kauli ya Sharifa ilikuwa na maana mbili, na alijua binti huyo anamfanyia makusudi.
*"Haya, inatosha kwa leo,"* Baturi aliamuru. *"Mume wangu nenda kaoge, Sharifa naye akapumzike. Mimi naanza kuandaa chakula cha mchana."*
Baturi alitoka, na Iddi akashusha pumzi ndefu ya ushindi. Lakini kabla hajaondoka, Sharifa alisimama na kumsogelea Iddi. Alinong'ona sikioni mwake, *"Shemeji, umekatisha utamu katikati. Usiku dada akilala, nakuja kumalizia deni langu."* Sharifa alimaliza kwa kumng'ata Iddi sikio taratibu na kisha akatoka nje akizungusha makalio yake kwa madoido.
Mchana ule chakula kililiwa kwa ukimya wenye kishindo. Iddi alikuwa akijitahidi kutomtazama Sharifa, lakini Sharifa alikuwa akitumia mguu wake chini ya meza, akimpapasa Iddi kwenye mapaja kwa mahaba mazito. Kila Iddi alipojaribu kukwepa, Sharifa alizidisha pigo, akimfanya Iddi ashindwe hata kushika kijiko vizuri.
Baturi alistuka. *"Mume wangu, mbona mkono unatetemeka? Unaumwa?"*
*"Hapana mke wangu... ni uchovu wa mazoezi tu,"* Iddi alijibu huku akijaribu kutabasamu kwa lazima.
Usiku ulianza kuingia, na giza likaleta pazia la dhambi nyingine. Baturi alikuwa amechoka na mizunguko ya mchana, hivyo alipitiwa na usingizi mapema baada ya kula chakula cha usiku. Iddi alibaki sebuleni akitazama TV, lakini akili yake yote ilikuwa chumba cha pili.
Ghafla, mlango wa chumba cha Sharifa ulifunguka kidogo. Sharifa alichungulia, akiwa amevaa kanga moja tu kifuani, huku akimkonyeza Iddi. Iddi alizima TV kwa haraka, akanyata kama mwizi, na kuingia ndani ya chumba cha shemeji yake.
Alichokikuta ndani kilimfanya akili imruke. Sharifa alikuwa amevua ile kanga na kuibakisha mwilini kwa namna ambayo iko tayari kudondoka muda wowote.
**Sehemu ya 6: SHAHU ZA USIKU**
**ITAENDELEA...**