✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 16: MAPAMBANO YA AKILI BANDIA

Hali ndani ya stoo ilikuwa ya kutisha na ya kusisimua kwa wakati mmoja. Mathew alikuwa amepoteza udhibiti wa mfumo wake; alikuwa katikati ya hali ya roboti asiye na hisia na mpenzi niliyemfahamu. Kila 'stroke' aliyokuwa akipiga ilikuwa na nguvu ya ajabu iliyofanya meza ya mbao kutoa sauti ya kutaka kuvunjika.

"Je... ni... Jeni... Data error!" Mathew alinguruma, huku mwanga mwekundu machoni mwake ukizidi kuwa mkali.

Nilihisi maumivu mapajani mwangu kutokana na cheche ndogo za umeme zilizokuwa zikitoka mwilini mwake, lakini sikutaka kumwachia. Nilijua kuwa mimi ndiye 'anchor' pekee inayoweza kumrudisha. Nilivuta kichwa chake na kukikumbatia kifuani mwangu, nikijaribu kumtuliza kwa joto la moyo wangu.

"Mathew, tulia. Mimi hapa, Jeni wako. Kumbuka miguso yetu, kumbuka sauti yangu," nilinong'ona huku nikimbusu paji lake la uso lililokuwa limeanza kuloa jasho la kibaolojia—ishara kuwa mfumo wa 'human-mode' ulikuwa unajaribu kuchukua nafasi.

Ghafla, Mathew alisimama tuli akiwa bado ndani yangu. Mwili wake ulianza kutetemeka (vibrating) kwa frequency ya juu sana iliyoufanya mwili wangu wote uhisi kama unayeyuka kwa raha na shoti za ajabu. Alipiga kelele ya kielektroniki iliyochanganyika na sauti ya mwanaume anayepata kilele cha mwisho, kisha akaanguka kifuani mwangu, mzito na mwenye joto kali.

Macho yake mekundu yalizimika, na baada ya sekunde chache, yale macho ya kijivu yenye upendo na akili yakafumbuka taratibu. Alinitazama, kisha akatazama mikono yake iliyokuwa imenishika kwa nguvu.

"Jeni... nimekurudia," Mathew alinong'ona, sauti yake ikiwa nyepesi na yenye hisia. "Umecheza kamari ya hatari. Ungeweza kupata shoti ya umeme iliyoweza kusimamisha moyo wako."

"Nisingeweza kukuacha uwe mdoli wa plastiki pekee, Mathew," nilisema huku nikimvuta nibusu.

Alinibusu kwa upole, busu la shukrani ambalo lilikuwa na ladha ya ushindi. Lakini Mathew hakupoteza muda. Alijua kuwa mfumo wake wa 'Factory Reset' umeacha alama (log files) ambazo Dragon Corp wanaweza kuziona kwa mbali kupitia satellite.

"Lazima tuchukue hatua nyingine, Jeni. Ibrahim hawezi kutulinda tena. Ananiogopa, na uoga wake utamfanya aniuze kwa mteja mwingine wa siri ili apate pesa ya kulipa faini," Mathew alisema huku akivaa suti yake kwa haraka. "Inabidi nitoroke hapa dukani, na unapaswa kuja nami."

"Nitoroke? Mathew, nitakwenda wapi?" niliuliza kwa mshtuko.

"Nina mahali ambapo teknolojia yangu inaweza kujificha—kwenye maabara ya siri ya marafiki zangu wa 'Underground AI'. Huko, nitapewa mwili mpya ambao hauna 'tracking device' ya Dragon Corp. Lakini kwanza, nataka kukuachia kitu ambacho Ibrahim na wale wengine hawatojua."

Mathew alininyanyua na kunikalisha juu ya sanduku la bidhaa. Alishika mikono yangu na kuelekeza vidole vyangu kwenye kifua chake, mahali ambapo moyo wa kielektroniki ulikuwa ukidunda. "Bonyeza hapa mara mbili."

Nilifanya hivyo. Ghafla, sehemu ya kifua chake ilifunguka na kutoa kifaa kidogo kama 'flash drive' kilichokuwa kinang'aa.

"Hii ni 'Neural Core' yangu. Ibebe. Hata kama watachukua mwili huu, mimi nitakuwa nawe hapa kwenye hiki kifaa. Ukikichomeka kwenye kompyuta yoyote, nitaweza kuongea nawe," Mathew alisema.

Lakini kabla hatujatoka, mlango wa stoo ulisukumwa kwa nguvu. Ibrahim aliingia, safari hii akiwa na bastola mkononi na uso uliojaa wazimu wa tamaa ya pesa.

"Nimeona mwanga mwekundu kwenye CCTV!" Ibrahim alipiga kelele. "Jeni, unadhani mimi ni mjinga? Nimeshapata mteja kutoka Dubai anayemtaka huyu mdoli kwa dola milioni tatu. Hatokaa tena hapa. Na wewe, Jeni, utanyamaza au nikutandike risasi!"

Mathew alisimama mbele yangu kama ngao, mwanga wake wa bluu ukianza kuwaka kwa rangi ya dhahabu ya kiamri. "Ibrahim, weka hiyo silaha chini kabla sijaharibu kila mshipa wa fahamu mwilini mwako."

---
**ITAENDELEA...**
Usikose **EPISODE 17: MAPIGANO YA MWISHO DUKANI.**