Episode 3: SIRI YA USIKU WA KWANZA
Chumba cha maharusi kilikuwa na utulivu wa aina yake, huku taa za mafuta zikitoa mwanga hafifu wa rangi ya dhahabu uliocheza kwenye kuta za chokaa. Harufu ya udi na marashi ya karafuu ililevya akili. **Ghazala** alikuwa amejipumzisha kwenye mashuka ya hariri, ngozi yake ya samli iking’aa kwa mafuta ya dhalila. Alikuwa akimtazama **Kaisi** kwa jicho lenye kiu—kiu ya mwanamke aliyekuwa akisubiri kukutana na shujaa wake.
Kaisi alisimama pembeni ya kitanda, moyo ukimdunda kama ngoma ya vita. Alijua fika kuwa chini ya vazi lake la kiunoni, hakuna silaha ya kumridhisha binti huyu wa kifalme. Alikuwa na kovu tu na ahadi ya Mzee Puta.
"Mbona umesimama hapo kama mgeni, mume wangu?" Ghazala alizungumza kwa sauti ya kunyenyekea, huku akijigeuza na kuacha mguu wake mmoja mweupe utoke nje ya shuka. "Njoo unipe joto la ushindi wako."
Kaisi alijisogeza polepole na kuketi ukingoni mwa kitanda. Ghazala alimvuta na kumlaza kifuani mwake. Kaisi alihisi matiti ya Ghazala, yaliyokuwa magumu na yenye ncha zilizochomoza kwa msisimko, yakigusa kifua chake. Alivuta harufu ya nywele za Ghazala, akahisi ulimi wa binti huyo ukiramba sikio lake kwa madaha.
"Mmh... mume wangu," Ghazala alinong’ona, mikono yake sasa ikianza safari ya hatari. Alipapasa misuli ya tumbo la Kaisi, akishuka chini kuelekea kwenye mshipi wa nguo yake.
Kaisi alishika mkono wa Ghazala kwa haraka. "Ghazala... subiri."
"Kuna nini, mpenzi wangu?" Ghazala aliuliza akishangaa, macho yake yakiwa yameanza kulemaa kwa mahaba.
"Maumivu... yale majeraha ya mamba bado hayajapoa vizuri," Kaisi alidanganya, huku akijitahidi kuficha tetemeko la sauti yake. "Nahitaji muda kidogo ili mwili uwe na nguvu ya kukupa furaha unayostahili."
Ghazala alitulia kwa muda, akamtazama Kaisi kwa huruma lakini pia kwa shaka fulani. "Pole shujaa wangu. Nilisahau kuwa ulipambana na mnyama mkali kwa ajili yangu. Lakini... hata kwa kunigusa tu?"
Ghazala hakutaka kukubali kushindwa. Alijisogeza juu ya Kaisi, akampalia miguu na kuanza kumbusu shingoni kwa nguvu. Alihamisha busu zake kuelekea kifuani, akitumia ulimi wake kuchora duara kwenye chuchu za Kaisi. Kaisi alihisi msisimko mkali wa kiume ukipanda, mbegu zikicheza mwilini mwake, lakini hakuwa na chombo cha kuzitolea kwa Ghazala.
Alimshika Ghazala kiunoni, akahisi utamu wa nyonga za binti huyo, lakini kila alipojaribu kusogeza nyonga yake, hofu ya kugundulika ilimrudisha nyuma. Ghazala alijaribu kuingiza mkono wake ndani ya vazi la Kaisi ili kuishika "silaha" ya shujaa wake, lakini Kaisi alijigeuza kwa haraka na kujifanya anakohoa kwa maumivu.
"Ahhh! Ghazala, kidonda kimevuta!" Kaisi alijiumiza kidogo makusudi ili kutoa kisingizio.
Ghazala alishuka juu yake, akiwa amevunjika moyo na kutoridhika. "Basi lala mume wangu. Nitakusubiri upone."
Mwezi wa kwanza ulipita huku Kaisi akitumia visingizio vya kila aina. Mara amechoka na majukumu ya ufalme, mara anahisi homa, mara anaenda kufanya tambiko la siri porini. Lakini Ghazala hakuwa mjinga. Kila usiku alikuwa akijitahidi kumshawishi Kaisi, akimvulia nguo zote na kumpapasa kila mahali, lakini Kaisi alikuwa akibaki kuwa baridi sehemu ya siri, jambo lililomfanya Ghazala aanze kupata mashaka mazito.
Siku moja asubuhi, Ghazala aliamka na uso wa huzuni. Alitoka chumbani bila hata kumsalimia Kaisi na kuelekea moja kwa moja kwenye ikulu ndogo ya baba yake, Mtemi Ngunguti.
Mtemi alikuwa ameketi akila matunda, lakini alipoona uso wa binti yake, alijua kuna jambo.
"Baba," Ghazala alianza, huku machozi yakimlengalenga. "Ulinipa shujaa, ulinipa mfalme... lakini baba, mwanaume huyu uliyemvisha taji, hana uume! Hawezi kunipa furaha ya ndoa, wala hawezi kunipa mrithi wa kiti chako!"
Mtemi Ngunguti alisimama kwa ghafula, tunda likamdondoka mkononi. "Unasema nini, Ghazala? Unamaanisha huyu kijana aliyevuka mto Sangu ni towashi?"
"Sijui baba, lakini kila nikimgusa, nakutana na kovu tu na kipande kisichoeleweka. Hana uwezo wa kiume!"
Hasira ilimpanda Mtemi. Alihisi amedharauliwa. "Walinzi! Mwiteni Kaisi hapa mara moja! Kama kweli ni mlemavu wa uume, basi leo damu yake itamwagika kwenye uwanja wa mto Sangu!"
Kaisi aliletwa mbele ya Mtemi akiwa anatetemeka. Mtemi alimtazama kwa macho yaliyojawa na moto. "Kaisi, binti yangu analalamika kuwa wewe si mwanaume kamili. Ni kweli kuwa huna uume wa kuitwa mfalme?"
Kaisi alishusha pumzi ndefu. Siri ilikuwa imepasuka. "Ni kweli Mtemi... lakini si kwa kupenda kwangu."
**ITAENDELEA EPISODE 4: AHADI YA MIAKA MIWILI**