✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 16: KURUDI KWENYE GIZA

Safari ya kurudi kijijini ilikuwa ndefu na yenye uchungu. Kila mshindo wa basi ulipokuwa ukigonga shimo barabarani, Sharifa alihisi tumbo likimkata na kichefuchefu kikimrudi. Alijiegemeza kwenye kioo cha basi, akitazama miti ikipita kwa kasi, huku akivuta picha ya maisha yake mapya ya aibu yatakayoanza punde tu atakapokanyaga ardhi ya Mshikamano.

Basi lilifika kijijini majira ya saa kumi na mbili jioni. Sharifa alishuka huku akijifunika usoni kwa mtandio, asitake macho ya wanakijiji wambue. Lakini kijijini siri haina mguu, bali ina mbawa. Habari za kufukuzwa kwake mjini na kukamatwa kwa Iddi zilikuwa zimeshafika kabla hata yeye hajashuka kwenye basi.

Alipofika kwenye nyumba ya mzee Magesa, alikuta ukimya wa kaburi. Baba yake alikuwa ameketi kwenye kiti cha kamba nje ya nyumba, akivuta tumbaku kwa hasira. Mama yake alikuwa amejikunyata chini akilia kwa sauti ya chini.

*"Shikamoo baba..."* Sharifa alisalimia kwa sauti ya unyonge.

Mzee Magesa hakuitikia. Alinyanyuka taratibu, akamtazama binti yake kuanzia miguuni mpaka kichwani. Macho yake yalitua kwenye lile paja la Sharifa lililokuwa bado lina michubuko ya mahaba ya Iddi, kisha akatazama tumbo lake ambalo tayari lilikuwa linaanza kuchomoza kwa mbali.

*"Umerudi? Umetoka kumaliza ndoa ya dada yako, umerudi hapa kutuletea laana?"* Mzee Magesa alinguruma, sauti yake ikitetemeka kwa uchungu.

*"Baba, mimi sikupenda... shemeji ndiye aliyenishawishi..."* Sharifa alijaribu kusema, lakini kabla hajamaliza, kiganja kizito cha baba yake kilishuka kwenye shavu lake. *Pa!*

Sharifa alianguka chini, begi lake likifunguka na nguo zake za ndani—nyeupe na nyekundu alizokuwa akizitumia kumtega Iddi—zikatawanyika sakafuni.

*"Usinitajie huyo shemeji hapa! Umeharibu maisha yako, umefukuzwa chuo, na sasa umebeba haramu tumboni. Kuanzia leo, wewe si binti yangu!"* Mzee Magesa aligeuka na kuingia ndani, akimwacha Sharifa akigaragara kwenye vumbi.

Mama yake alimsogelea, lakini hakuwa na upendo machoni mwake. *"Sharifa, kwa nini? Kwa nini mume wa dada yako? Unajua Baturi amepoteza kila kitu kwa ajili yako? Iddi anasubiri kuhukumiwa miaka 30 kwa kosa la kukunajisi wewe unayesema unampenda. Utamu gani huo uliokuwa unaupata mpaka ukasahau damu yako?"*

Sharifa hakujibu. Alinyanyuka na kuanza kukusanya nguo zake. Alielekea kwenye chumba chake cha zamani, chumba ambacho kilikuwa kimejaa vumbi na harufu ya upweke. Alijitupa kitandani, akivuta picha ya Iddi akiwa nyuma ya nondo za gereza.

Alizishika shanga zake za kiunoni, zilezile ambazo Iddi alikuwa akizichezea kwa meno usiku wa manane. Alihisi msisimko wa ajabu, uchu ukimrejea katikati ya huzuni. *"Iddi... hata kama ufungwe, nitakusubiri. Utamu wako hakuna mwanamume wa kijijini atakayeufikia,"* alinong'ona kwa sauti ya kichaa.

Usiku ule, Sharifa alishindwa kulala. Alikuwa akihisi kiumbe kilichopo tumboni kikicheza. Alijinyonga-nyonga kitandani, mikono yake ikipapasa mwili wake mwenyewe, akivuta hisia za pampu za Iddi. Alipiga mguno wa chini, *"Aaaah... shem... nichape tena..."* Alikuwa amepoteza akili kwa uchu. Hali yake ya akili ilianza kutikisika. Wakati huo huo, kule mjini, Baturi alikuwa amekaa sebuleni kwake akiwa ameshikilia karatasi za talaka. Alikuwa ameshinda vita, lakini moyo wake ulikuwa tupu. Alijua kuwa maisha ya Sharifa yameishia gizani, lakini alijua pia kuwa "sumu" ya Sharifa itabaki moyoni mwa Iddi milele.

**Sehemu ya 17: GEREZA LA HISIA**
**ITAENDELEA...**