✦ Matangazo ✦

📖 Story Tamu

Episode 2: HARUFU YA DHAMBI NA AHADI YA PARADISO

Ndani ya ofisi, harufu ya pafyumu ya Erica na harufu ya upweke ya Jonas vilichanganyika na kutengeneza anga zito la matamanio. Jonas alikuwa akihisi ushindi; alijua kuwa binti huyu mrembo ameshashindwa na njaa ya ajira. Erica, kwa upande mwingine, alikuwa akitetemeka — si kwa baridi ya kiyoyozi, bali kwa hofu na msisimko wa kile kilichokuwa kikienda kutokea.

"Erica, unajua kampuni hii inahitaji watu jasiri," Jonas alinong'ona huku mikono yake sasa ikiteleza taratibu kutoka mabegani na kuanza kuchezea nywele za Erica. "Jasiri wa kufanya lolote ili kulinda maslahi ya ofisi... na ya bosi wao."

Erica alishusha pumzi ndefu, macho yake yakiwa yamefumba. "Najua sir... nipo tayari kuwa jasiri."

Jonas hakusubiri jibu lingine. Alimvuta Erica taratibu na kumsimamisha. Erica alikuwa mrefu kiasi, akimfanya Jonas atazamane naye usoni moja kwa moja. Jonas alitumia vidole vyake vya mkono wa kulia kuinua kidevu cha Erica, kisha akapitisha ulimi wake kwenye midomo yake mwenyewe iliyokuwa imeanza kukauka kwa uchu.

Bila kusema neno, Jonas alianza kufungua vifungo vya blauzi ya Erica kimoja baada ya kingine. Kila kifungo kilipofunguka, mwanga hafifu wa taa ya mezani uliidhinisha ngozi nyororo ya Erica iliyokuwa iking'aa kwa jasho jembamba la hofu. Erica hakumzuia; mikono yake ililegea pembeni, akijikabidhi mazima kwa "mungu" wa ajira aliyekuwa mbele yake.

Blauzi ilipoanguka chini, Jonas alipumua kwa nguvu. Alivutiwa na urembo uliokuwa mbele yake. Alimvuta Erica kifuani kwake, akihisi mapigo ya moyo ya binti huyo yakigonga kwa kasi kama ngoma ya vita.

"Kumbuka Erica," Jonas alisema kwa sauti ya chini na ya mamlaka, "Ukimuajiri Jonas, umeajiri maisha ya anasa. Lakini lazima unilipe kwanza."

Alimuinamisha Erica taratibu kwenye meza kubwa ya ofisi, meza ambayo masaa machache yaliyopita ilitumika kusaini mikataba ya mamilioni, lakini sasa ilikuwa ikitumika kama uwanja wa usaliti. Jonas alianza kuvua mkanda wake kwa fujo kidogo, huku Erica akijitanda kwa mikono yake, akisubiri kile ambacho angekiita "ghali ya ajira."

Jonas alijisogeza na kuanza kupapasa mapaja ya Erica yaliyokuwa yameachwa wazi na sketi iliyopanda juu zaidi. Alihisi joto kali likipanda mwilini mwake. Wakati akijiandaa kukamilisha muamala huo wa mwili, Erica alinong'ona kwa sauti ya chini sana, "Sir... lakini ahadi ya kazi ni kweli?"

Jonas alitabasamu gizani, tabasamu la dhihaka. "Usijali mpenzi, kuanzia kesho, ofisi hii itakuwa nyumbani kwako... mradi tu leo unipe kile ninachotaka."

Kwa fujo na uchu uliopitiliza, Jonas alikamilisha kuvua nguo zake na kuingia katikati ya mapaja ya Erica. Kilichofuata kilikuwa ni mchanganyiko wa vilio vya maumivu, kelele za mahaba ya bandia, na harufu ya dhambi iliyokuwa ikitanda ndani ya ofisi ile ya kampuni ya Terejo. Jonas alikuwa akipata alichokitaka, huku Erica akipoteza utu wake kwa ahadi ya karatasi inayoitwa mkataba.

**INAENDELEA SEHEMU YA 3...**